Waziri Mkuu asimamisha sheria ambazo zimekuwa ni kero kwa wafanyabiashara soko la Kariakoo
Mkutano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wafanyabiashara uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam umeleta tija baada ya Waziri Mkuu kusema kuwa sheria ambazo zimekuwa zikisababisha kero kwa wafanyabiashara zimesimamishwa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili...
Zinazohusiana
Matukio
-
Aprili 25, 2024
Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi
-
Machi 05, 2024
Je, nini Super Tuesday?
-
Machi 05, 2024
Misaada ya kimataifa yaanza kuwasili Sudan