Upatikanaji Viungo

Sauti ya Amerika

Sauti

Zaidi Sauti

Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26

Ukurasa huu maalum unafuatilia ziara ya kwanza ya Rais Barack Obama wa Marekani nchini Kenya, nchi aliyotokea baba yake. Wakati wa ziara hiyo kuanzia Julai 23 hadi 26 Rais Obama atahudhuria mkutano mkuu wa Ujasiriamali Duniani 2015 ambao hukutanisha wajasiriamali na viongozi wa kibiashara, taaisi za kimataifa na serikali kila mwaka kutafuta mbinu za kushirikiana na kukuza uchumi wa dunia.

Zaidi Ziara ya Rais Obama Kenya