Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Aprili 25, 2024 Local time: 18:29

Al-Shabab washambulia Garissa Kenya


Al-Shabab washambulia Garissa Kenya
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:08 0:00

Vikosi vya usalama vya Kenya vimeweza kuwaokowa wanafunzi wote walotekwa mateka na wanamgambo wanne wa Al Shabab katika chuo kikuu cha Garissa, kufuatia shambulizi lililosababisha vifo vya watu 147.

XS
SM
MD
LG