Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 14:59

Wakenya waandamana kudaia usalama uimarishwe

Wakenya waliandama mjini Nairobi siku ya Jumanne hadi ofisi ya rais kudaia kufukuzwa kwa waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa polisi kutokana na kuzorota kwa usalama nchini humo, hasa baada ya kuuliwa kwa watu 28 huko Mandera na wapiganaji wa Kisomali - al-Shabab.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG